Kwako Waziri Ummy Mwalimu kuhusu maambukizi ya COVID-19: Watanzania tunahitaji kupewa taarifa za kila siku (Daily Updates)

Nasikia huyo mama huwa anapokea matusi ya hatari kutoka kwa mzee Meko kwa simu mpaka basi. Yaani anapelekeshwa kama mkokoteni unaovutwa na punda.
Dah!...hizi kazi za kuteuliwa zina changamoto sana maana muda wowote mteuaji anaweza kukuondoa akitaka.
 
sijui kama Ummy Mwalimu huwaga anapitia huku JF.

seriously speaking, tunahitaji daily updates or else hii attitude yenu CCM itawa cost vibaya sana October.

wananchi wanasikia tu rais wao kajichimbia kijijini kwake ambapo walitegemea awe mstari wa mbele katika hii vita kama tunavyoona marais wa nchi nyingine wanavyofanya.

Tanzania hali ni mbaya sana kuliko watu wanavyosikia na kuona. hii siyo exaggeration - ni fact ambayo ipo supported na numbers.

ndani ya wiki 2 tu tumeshuhudia maambukizi nchini kwetu yakioengezeka exponentially (ongezeko la 916% au zaidi ya mara 10!!)

katika global perspective, Tanzania ni moja ya nchi zilizo na the worst recovery rate ya walioambukizwa - in fact, tunazidiwa na nchi zote zinazotuzunguka, hata DRC wametuzidi.

hapa chini ni COVID-19 recovery rate hadi kufikia asubuhi ya leo kwa nchi jirani na Tanzania:

Burundi 80%
Uganda 68%
Rwanda 54%
Zambia 54%
Kenya 24%
Mozambique 20%
Malawi 18%
DRC 10%
Tanzania 4%

hii trend ni ushahidi tosha kuwa serekali yetu haina mkakati wowote kwenye hii vita. inategemea zaidi bahati na neema ya Mungu. recovery kingekuwa ni kipimo kizuri cha uthabiti wa serekali katika ku deal na hii situation.

WE NEED DAILY UPDATES UMMY!!
 
Pamoja na maombi lakini mwenendo na tabia zetu zikoje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…