Kwako Zarina Hassan; Wapost na watoto wako wengine kwenye mitandao yako ya kijamii

fredism

Senior Member
Joined
Sep 6, 2017
Posts
151
Reaction score
151
Tunakupenda ww na mzazi mwenzio Chibu mnajitahidi sana kujitoa kwenye social media najua ndo sehemu ya maisha yenu mana bila hivyo nafikiri mngepotea ,

Una watoto 5 uliowazaa mwenyewe basi na hao wengine jaribu kuwaposti tujue maendeleo yao birthday zao wafanyie sherehe ili wajisikie kama wanapendwa naona umebase kwa kina tiffah na nillan tu.
 
Acha kuingilia maisha ya familia za watu.. ungewafatilia kama fan wa kweli husingemuanzishia huu uzi.

Ameshaeleza mara nyingi hawapendi.. hasa wa kwanza. Pia kwa muda huu Mkubwa yupo New York likizo na wale wakiume wawili wapo Tanzania kama wiki ya pili sasa wanakula bata.

Na hao wadogo wakikua wataweka maamuzi yao na pia hao wadogo wameingia mikataba..
 
Hivi huyu mmama ni kweli aliwahi kucheza porno move na akina mandingo???cc evelyn salt
 
Acha ushamba. Wewe umefanyiwa birthday ngap?
Watoto wake wakiume ni wakubwa hawapendi show off za mitandaoni kama wewe
Ukubwa sio tatizo labda huna data mana hata wazazi wao wanasherehekea birthday we ndio mshamba
 
Umekuwa msemaji wa familia nenda kaajiriwe wasafi
 
Latifa na Nilan si wanafanyiwa na Baba yao, Hao wengine wafanyiwe na Baba zao either wadogo au baba wakubwa incase baba yao mzazi kashatangulia
 
Huu ni mwendelezo wa viwanda. Hapa kazi tu.
 
Hivi wewe watoto wako huwa unawafanyia hzo besidei!!!???
 
Tangazo kwa mtoa Uzi;;;HAYAKUHUSU;:hilooooooooo!!!pruuuuuuuu!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…