DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Vyama vya siasa asilimia kubwa vimekuwa na uongo mwingi sana, je, serikali haioni umuhimu wa kuwa na mgombea huru, ambaye hana chama cha siasa.
Nimepitia CV ya mtu anajiita Tundu Lissu nimeona hakustahili kuwa na chama chochote kwa nchi kama Tanzania ila angekuwa mgombea huru.
Unapozungumzia maadili, nidhamu, ukweli na haki na kupiga vita rushwa basi ni ngumu ukafanikiwa hii vita ukiwa ndani ya ya vyama vya siasa vya Tanzania.
Nadhani maboresho yangefanyika ili watu Kama Tundulissu wakapata nafasi ya kuonesha uwezo wao.