DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hiyo nafasi naisubiri kwa mikono miwili. Vyama vya upinzani vimepoteza mvuto na mwelekeo. Kuruhusu nafasi ya mgombea binafsi/huru ni muhimu sana kwa sasa.Vyama vya siasa aslimia kubwa vimekuwa na uongo mwingi Sana , je serikali haioni umuhimu wa kuwa na mgombea huru, ambaye hana chama cha siasa.
Nimepitia CV ya MTU anajiita Tundu lissu nimeona hakustahili kuwa na chama chochote kwa nchi Kama Tanzania Ila angekuwa mgombea huru.
Unapozungumzi maadili , nidhamu, ukweli na haki na kupiga vita rushwa basi ni ngumu ukafanikiwa hii vita ukiwa ndani ya ya vyama vya siasa vya Tanzania.
Nadhani maboresho yangefanyika ili watu Kama Tundulissu wakapata nafasi.
Vyama ni watu na uongo unaosema ni wa watu na mgombea binafsi ni mtu , je mtu huyu wa kugombea binafsi hatokua muongo?
Nikukosoe kidogo badala ya serikari iwe wananchi, sisi wananchi ndo tunataka mgombea binafsi, tulishapendekeza kwenye rasimi ya katiba mpya ya wariobaVyama vya siasa asilimia kubwa vimekuwa na uongo mwingi sana, je, serikali haioni umuhimu wa kuwa na mgombea huru, ambaye hana chama cha siasa.
Nimepitia CV ya mtu anajiita Tundu Lissu nimeona hakustahili kuwa na chama chochote kwa nchi kama Tanzania ila angekuwa mgombea huru.
Unapozungumzia maadili, nidhamu, ukweli na haki na kupiga vita rushwa basi ni ngumu ukafanikiwa hii vita ukiwa ndani ya ya vyama vya siasa vya Tanzania.
Nadhani maboresho yangefanyika ili watu Kama Tundulissu wakapata nafasi ya kuonesha uwezo wao.
Upo sahihi ila maamuzi yapo chini ya serikali. Kwa sasa na sio wananchiNikukosoe kidogo bala ya serikari iwe wananchi, sisi wananchi ndo tunataka mgombea binafsi, tulishapendekeza kwenye rasimi ya katiba mpya ya warioba
Hebu tuanze na wewe kufungua kesi ya kikatiba kudai mgombea huru, kama walivyofanya akina marehemu Mtikila.Ukiwa mbunge na ukaongea kuhusu rushwa basi unaweza kuvuliwa uanachama .
Kwahiyo kuna kila sababu ya kuwepo Kwa mgombea huru.
Hili neno!。Vyama vya siasa asilimia kubwa vimekuwa na uongo mwingi sana, je, serikali haioni umuhimu wa kuwa na mgombea huru, ambaye hana chama cha siasa.
Nimepitia CV ya mtu anajiita Tundu Lissu nimeona hakustahili kuwa na chama chochote kwa nchi kama Tanzania ila angekuwa mgombea huru.
Unapozungumzia maadili, nidhamu, ukweli na haki na kupiga vita rushwa basi ni ngumu ukafanikiwa hii vita ukiwa ndani ya ya vyama vya siasa vya Tanzania.
Nadhani maboresho yangefanyika ili watu Kama Tundulissu wakapata nafasi ya kuonesha uwezo wao.
serikali ndiyo inatakiwa kuona kama kuna umuhimu au hakuna wa kuwa na mgombea huru?je, serikali haioni umuhimu wa kuwa na mgombea huru, ambaye hana chama cha siasa.
serikali ndiyo inatakiwa kuona kama kuna umuhimu au hakuna wa kuwa na mgombea huru?
Kuna haja ya soma la uraia kutiliwa mkazo zaidi, wananchi wajue
1. Kazi za serikali
2. Kazi za bunge
3. Kazi za mahakama
4. wajibu wa raia