Kapepo
JF-Expert Member
- Aug 14, 2015
- 1,066
- 1,194
Kwakweli kashaniacha zaid ya mara tatu sasa na makosa akiwa yeye ndie anaenikosea , juzi katoka kugongwa sijamwambia chochote nilikaa kimya naongea nae kama hakuna kimetokea kitu sasa leo kakorofishana na mchizi aliemgonga kisa mm nilikuwa nampitia
So alichofanya kunitumia hii sms nq mimi nilichofanya sikumjibu chochote zaidi ya kufuta kilakitu chake na kuendelea na maisha mengine. Kwakweli ningeeoa bomu japo inauma kuachwa 🥹
So alichofanya kunitumia hii sms nq mimi nilichofanya sikumjibu chochote zaidi ya kufuta kilakitu chake na kuendelea na maisha mengine. Kwakweli ningeeoa bomu japo inauma kuachwa 🥹