Kwamba makosa ya Sabaya hayapo Polisi yapo TAKUKURU? Wadanganyika

Kwani chadema na wana arusha wote wa jf wanasemaje??? Si niliskia wamechinja mbuzi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukifikiri kwa akili kubwa utagundua kuwa tatizo la Tanzania siyo katiba mpya wala siyo CCM bali ni wananchi wenyewe.Katiba pamoja na CCM ni secondary problem lakini primary problem ni wananchi.
 

BTW kwenye gazeti nimeona timu inayochunguza imeundwa na Takukuru, Usalama na Polisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…