Kwamba Serikali ya Tanzania haiwafahamu wenye nyumba kiasi cha kumkata mpangaji kodi ya Majengo ni uongo wa kiwango cha chini sana na ni wizi

Ankara ya umeme inasomeka jina lako mpangaji ukilipa? Hadi useme hawamjui mwenye Nyumba ? Wewe mleta mada ndio hujielewi ukinunua umeme kule TRA na Tanesco wanajua mwenye Nyumba ndie kanunua .Ya kusema wewe ndie umenunua Hilo Ni lako na mwenye Nyumba wako si la TRA Wala Tanesco
 
Eti una nyumba mbili, kwa makao makuu yapi ya Chadema?.
Hamna mmiliki wa nyumba anayeshabikia Gaidi . Wewe ni mpangaji tu huko Tandale.
Huu ufala wa uchama ndo umetufikisha hapa we lofa jibu hoja na sio kumuattack mtu
 
Umeme unawekewa hata Kama Nyumba haijapimwa na haiko maeneo rasmi

Takwimu za umeme ziko update zaidi kuliko za Ardhi kuwajua wamiliki Nyumba.Ni rahisi kumtambua mumiliki Nyumba kupitia bill ya umeme
 
Majengo yanayotumia umeme tofauti na wa TANESCO kodi hii haitawahusu?!
 
Hujaelewa kwa vile umekuja kichwa kichwa
 
Au mfano unanyumba ambayo umepangisha watu, umo kila mpangaji ana mita yake, so kila mpangaji analipa ama, mana kusema umuhamishie mpangaji moja majukum ni kuleta mtafarakano
Na je kodi ya Mapato kwa kupangisha unalipa
 
Asipoenda mnamfanyaje na je kwanini wenye nyumba wasiitwe mapema kabla ya wizi kufanyika ?
Suala hili limeelezwa vizuri sana na serikali na utaratibu umewekwa vyema. Wewe unajaribu kulitumia kufikiri linaweza kukupa millage ya kisiasa. Bahati mbaya kwako watanzania tumelipokea vyema na tunalipa kazi inaendelea. Tafuta lingine
 

Simplicity fits the poor with their niche thinking. This is a hidden enabling business environment under the cover of relief to the overwhelmed rich individuals,housing sector, with their own making on spatial economy distribution. A mechanical economist in the name Mwigulu Lameck Madelu wa kudesa in their own making.
 
Wizi uliozidi wa wale wahujumu uchumi yani[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Nimeipongeza serikali kwa hatua hii kubwa

TANZANIA tunahitaji muda tu kufika taifa lenye maendeleo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…