mbongo_halisi JF-Expert Member Joined Apr 16, 2010 Posts 7,074 Reaction score 5,486 Sep 27, 2019 #61 Nkwe2RG said: Tafadhali mkuu, kuna meza za kahawa misikitini!? Sikosoi kahawa, lakin ni miskiti gani hyo ina meza za kahawa!? Click to expand... Fika misikiti ya Kariakoo na Jangwani pale nje, utaona hayo.
Nkwe2RG said: Tafadhali mkuu, kuna meza za kahawa misikitini!? Sikosoi kahawa, lakin ni miskiti gani hyo ina meza za kahawa!? Click to expand... Fika misikiti ya Kariakoo na Jangwani pale nje, utaona hayo.
Nkwe2RG JF-Expert Member Joined Nov 11, 2014 Posts 231 Reaction score 224 Sep 27, 2019 #62 mbongo_halisi said: Fika misikiti ya Kariakoo na Jangwani pale nje, utaona hayo. Click to expand... Ulikua general sana kusema miskitini kana kwamba ni ndani kabisa ndiko vinakopatikana hivyo vikao vya kahawa na porojo
mbongo_halisi said: Fika misikiti ya Kariakoo na Jangwani pale nje, utaona hayo. Click to expand... Ulikua general sana kusema miskitini kana kwamba ni ndani kabisa ndiko vinakopatikana hivyo vikao vya kahawa na porojo