Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

Mwanahabari wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2020
Posts
1,588
Reaction score
956

Kwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "​

"Hakuna kama Samia "​


Sitaki kuongeza neno,hebu fungua mwenyewe hiyo video ili uone mafuriko ya maelfu ya watu huko Ushetu ikiwa ni siku ya Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Ushetu,ili kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias John Kuandikwa ( Mb )

Uchaguzi huo mdogo utafanyika Tarehe 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wawili shindani toka vyama vya vikuu vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo kwa kisingizio cha Ukata,


#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,

 

Attachments

  • VID-20211008-WA0038.mp4
    13.5 MB
cdm wangetema nyongo, si kwa moto huu wa mama.
 
CCM hii ya awamu ya Sita ni hoja kwa hoja,

Chagua Cherehani kesho
Hoja za kusingizia watu kesi.

Huyo mwenyekiti wenu ndio zero kabisa siku anazindua chanjo alikuwa hajui hata J&J ni single shot. Ni mtu wa kudanganywa tu na kina Mwigulu na Siro.

Kesi ya Mbowe alidanganywa kuwa Mbowe alikimbia na wenzake wameshahukumiwa, huyo ni zaid ya kilaza aisee!
 
Umetoka usingizin?au we ndo mnufaika wa hizi mboga mbovu kwa vizaz vyetu[emoji41]!!!,huon hata aibu kuanzisha uzi wa kijan wakat huu,Taifa likiangamia kwa hicho chama chako!!!??
 
Mkuu Rais ameshasema mahakama zitende haki,
Mahakama itatenda haki pia kwa Mbowe na Sabaya
 
UPUUZI MTUPU!!! Jiongeze acha KUKURUPUKA na kuandika ujinga ujinga!

 
Moto wakati hamtaki uchaguzi huru, hamtaki katiba mpya, hamtaki siasa shindani, Hamtaki siasa safi!!

Chanjo, Tozo na siasa za ugaidi zitawatokea puani 2025.!!
 
Safi sana Mtoto wa Samia
 


RAI KWA MAMA SAMIA SULUHU,


PATROBAS KATAMBI

HUSSEIN BASHE

WAANGALIWE KWA JICHO LA UWAZIRI KAMILA WANAJITUMA SANA HAWA VIJANA TUKIKAA KIMYA HATA MAWE YATASEMA,
 
Umew Umewasahau wadau /washikadau muhimu, polccm, neck/shingo,karani wa viama/chungu kumesa achana na timu kijani inayoicheza ngoma yenyewe, hapo Kuna nini, uwanja sawia uko wapi? Au kujazana upepo tuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…