Kwamoto huu wa CCM Ushetu CHADEMA mlikuwa sawa kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "

Moto wakati hamtaki uchaguzi huru, hamtaki katiba mpya, hamtaki siasa shindani, Hamtaki siasa safi!!

Chanjo, Tozo na siasa za ugaidi zitawatokea puani 2025.!!
Hivi kweli wanafanya kampeni ya nini ili iweje uharibifu wa raclimali hiyo bajeti ya kampeni mngewajenge watoto wa shule wa hiyo wilaya matundu ........oooooo
 
Dada tuliza muhaho,yani mnashindana wenyewe ccm halafu mnajitangaza...cdm haina muda na chaguzi za necccm
 
Kama hamna watu hata kama Mbowe atakuwa mkt wa tume tutawapiga tu

Mbona uchaguzi wa huko Ushetu hauzungumziwi? Au wananchi wamepuuza huo ushenzi hivyo mnaona hata aibu kuuzungumzia?
 
Nani katuzuia kufanya siasa, unadhani hatujui hujuma inayoendelea dhidi ya Cdm, au unadhani na sisi ni hamnazo kama ww?
azuia Nkufanya siasa,

Shida hamna pesa kuweni wakweli
 
Huyo choko mwenzako si ndiye alianza kunitukana na wewe ukashabikia. Mimi namuona wewe kama changudoa tu
Unachoweza ni MATUSI na kuwasingizia mabaya wengine....🤣

Hongera mzee wa matusi....ila matusi hayauzwi dukani....
 
Huyo choko mwenzako si ndiye alianza kunitukana na wewe ukashabikia. Mimi namuona wewe kama changudoa tu
Matusi hayauzwi mkuu....

Unazidi kuuonyesha "ujuha" wako mbele za watu wastaarabu....yaani duniani tuko bilioni 7....unayajua matusi peke yako tu?!!! 🤣

Toka uanze kunitukana nimerudi nyuma?!!

Endelea kuyaibua matusi mengine....endelea....nayasubiri mkuu....🤣
 
Unatafuta basha wewe nishakuona
 
Unatafuta basha wewe nishakuona
Umezunguuka wee kuyatafuta matusi mapya na kulipata hilo?!!🤣

Umekuja na hilo "ninatafuta basha"?!! Ha ha ha Kwa hiyo umeliona ndilo tusi jipyaaa kwa hasimu wako si ndio eee?!!

Endelea na matusi mengine....nitafutie yale mapyamapya yaliyoundwa huko mitaani asubuhi ya leo....nasubiri mkuu 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…