SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mbona unateseka sana bibie?Umezunguuka wee kuyatafuta matusi mapya na kulipata hilo?!![emoji1787]
Umekuja na hilo "ninatafuta basha"?!! Ha ha ha Kwa hiyo umeliona ndio tusi jipyaaa kwa hasimu wako si ndio eee?!!
Endelea na matusi mengine....nitafutie yale mapyamapya yaliyoundwa huko mitaani asubuhi ya leo....nasubiri mkuu [emoji1787][emoji1787]
Unayeteseka ni wewe kwa kushindwa kujibu hoja zenye akili ukafumbata MATUSI....Mbona unateseka sana bibie?
Wewe unatafuta bwana kwa nguvu.Unayeteseka ni wewe kwa kushindwa kujibu hoja zenye akili ukafumbata MATUSI....
Huionei aibu nafsi yako kwa matusi hayo?!!
Hukulelewa vyema ?!!
Kwani sote sisi tumetoka hukohuko uswazi uswekeni....ila tunazionea aibu nafsi zetu kutukana kama vile tuwagonjwa wa Lutindi....[emoji1787]
Endelea na misamiati ya matusi...nitafutie ile mipyamipya kabisa ambayo haijafikisha hata siku 2 huko uswazi.....[emoji1787]
Duuh kweli wewe ni "psychopath"..π€£Wewe unatafuta bwana kwa nguvu.
Sitaki mashoga mimi nina mke achana na mimi kabisa,naona unanifuatilia hadi jukwaa la Sports,wewe vipi mumeo hakufikishi summit?Duuh kweli wewe ni "psychopath"..[emoji1787]
Unarudiarudia maneno hayohayo kila baada ya sekunde moja....are you deluded?!! [emoji1787][emoji1787]
Nasubiri uniquote tena mstari huohuo uliouandika hapo juu....
Endelea nasubiri mkuu ...
Unahekima sana Jumbe BrownUmezunguuka wee kuyatafuta matusi mapya na kulipata hilo?!!π€£
Umekuja na hilo "ninatafuta basha"?!! Ha ha ha Kwa hiyo umeliona ndilo tusi jipyaaa kwa hasimu wako si ndio eee?!!
Endelea na matusi mengine....nitafutie yale mapyamapya yaliyoundwa huko mitaani asubuhi ya leo....nasubiri mkuu π€£π€£
Shukran mkuu wangu!Unahekima sana Jumbe Brown
π€£π€£Unajitengenezea taswira KICHWANI na kutaka kulazimisha wengine waiamini....Sitaki mashoga mimi nina mke achana na mimi kabisa,naona unanifuatilia hadi jukwaa la Sports,wewe vipi mumeo hakufikishi summit?
Nimeshakuambia mimi sitaki mashoga.[emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]Nani akufuatefuate wewe?!!!
Kwani umeibandika wewe hiyo mada hapo juu ?!!!
Kuna kitu hakiko sawa fikrani mwako.... ha ha ha
Liongeze uzito na nyama hilo tusi uliloniambia....nimeshalizoea kinywani mwako....nasubiri likiwa limenenepa.....π€£Nimeshakuambia mimi sitaki mashoga.
Weka tume huru halafu ujitape ..huu ni ujinga. . unachagua timu, unachagua refa na unamuonya nakupa gari nakupa mshahara ole wako wapinzani washinde. Mtakuwa na mtindio wa ubongoKwamoto huu wa CCM Jimbo la Ushetu-Kahama Chadema mlikuwa sahihi kusogeza magoli nyuma | Hapa Shaka kule Mizengo Pinda pale Katambi huku Ditopile ni "Utajua Hujui "
"Hakuna kama Samia "
Sitaki kuongeza neno,hebu fungua mwenyewe hiyo video ili uone mafuriko ya maelfu ya watu huko Ushetu ikiwa ni siku ya Kuhitimisha kampeni za Uchaguzi mdogo wa Jimbo la Ushetu,ili kumtafuta mrithi wa aliyekuwa Waziri wa Ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa Mhe Elias John Kuandikwa ( Mb )
Uchaguzi huo mdogo utafanyika Tarehe 09|10|2021 Ukiwahusisha wagombea wawili shindani toka vyama vya vikuu vya CCM na ACT Wazalendo ikiwa ni baada ya Chadema kususia Uchaguzi huo kwa kisingizio cha Ukata,
#Chagua Emmanuel Cherehani kwa Maendeleo ya Jimbo la Ushetu,
View attachment 1968408
Hakuna sehemu yoyote nimekutukana bali nimetoa wasifu wako.Liongeze uzito na nyama hilo tusi uliloniambia....nimeshalizoea kinywani mwako....nasubiri likiwa limenenepa.....[emoji1787]
Endelea....
Unautoaje wasifu wangu ilihali HUNIJUI....Hakuna sehemu yoyote nimekutukana bali nimetoa wasifu wako.
Labda mchaMbuziBut Samia hana Roho kama yako, Samia ni mcha Mungu na anajua mchango wa Patrobas na Bashe
Siyo lazima nikujue kwa kukuona,vitabia vyako vya humu jukwaani vinatosha kukujua.Unautoaje wasifu wangu ilihali HUNIJUI?!!
HUNIFAHAMU?!!
Kweli huo wasifu utakuwa una MAPUNGUFU mno.....
Inasemekana "vichaa" huwa wanawajua sana watu zaidi ya wanavyojijua wenyewe [emoji1787][emoji1787]
Duuh π²π²π²π€£π€£Siyo lazima nikujue kwa kukuona,vitabia vyako vya humu jukwaani vinatosha kukujua.
Kwani wewe umeshavunja ungo?Duuh [emoji44][emoji44][emoji44][emoji1787][emoji1787]
Endelea kukua mkuu....
Hwenda una miaka 17....
Chadema Mama anaiua rasmi nawahakikishia,
Samia anafanya siasa za Upinzani wao watafanya nini?
Popote Ulipo sema "Mungu mlinde Rais Samia "Duuh π²π²π²π€£π€£
Endelea kukua mkuu....
Hwenda una miaka 17....