Ni kama ule ubishani nani msanii bora Kati ya lucky dube na Bob Marley unashangaza kidogo japo kwangu lucky dude ni msanii bora kuliko Bob Marley the same kwa madilu systerm na franco luambo makiadi kwangu madilu ni bora kuliko franco mimi kwangu franco ni namba mbili baada ya madilu.
Japo madilu alikaribishwa na kukuzwa na franco pale Tp OK jazz ila hiyo hainiondolei kusema ya kwamba madilu systerm ni bora kuliko franco we jaribu kucompare nyimbo za madilu kama vile ya jean,voisin,biya,nzele,Aminata na nyinginezo na zile za franco kama vile non,tres impoli,mamou na Mario hata kwenye nyimbo ya mamou franco amefunikwa na madilu systerm.