Kwangu mimi binafsi it's unprofessional kusema team dhaifu

Mr Leo

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2021
Posts
604
Reaction score
1,269
Tukisema bongo wengi ni wa mchongo tunaonekana tuna chuki binfsi

Huwa napenda sana kauli ya Rtd CAG prof Assad kuwa wengi(alisema 60%) ya watumishi wa Tanzanian ni below average (yaani uwezo mdogo)

Mimi ni mwana simba ila sjasema kwasababu kasema saidoo hastahili, ila nasema hivi kwasababu ni unprofessional kuanza kusema eti alizifunga hatrick team dhaifu

Team dhaifu ikawa premier league??

Tuchukue mfano basi league tano zile kubwa duniani

EPL
Bundasliga
LA liga
Seria A
League 1

Lini umewahi kusikia wachambuzi wa huko abroad wakidai mbape anafunga sana ila ligi yao league 1 team nyingi ni za kawaida, lini umeskia hii kauli kwa mchambuzi professional akisema hivyo??

Messi&Ronaldo hadi hapo walipofika na magoal mengi waliyokuwa nayo mengi wamezifunga team za kawaida

Messi hajawahi ifunga Bayern goal zaidi ya 4 ila keshakutana nayo inaweza fika Mara 10

Pili si lugha nzuri hata wenye hizo team wakisikia kuwa "kazifunga team za aina gani" wala hazitapendeza kwao ni kauli za dharau

Mbona Mimi si mchambuzi ila maoni yangu rahisi tu ilikuwa yanatosha kusema MVP hapewi mtu kwa kuzingatia kigezo kimoja tu cha magoli na isitoshe hajaanza msimu hivyo ana michezo michache na facts nyingine nyingi

Kwangu mimi binafsi it's unprofessional kusema team dhaifu,za aina gani

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app

Sent from my TECNO KB7j using JamiiForums mobile app
 
Sijui kwanini Shafii huwa simkubali licha ya yeye kutumia nguvu kubwa kuwa trending
 
Hivi Messi alishawahi kuwafunga Chelsea hata goli moja ?

Wachambuzi wa bongo wote wahuni tu ni mashabiki waliojificha kwenye vyombo vya habari
 
nini maoni yako juu ya kauli ya ahmed ally kwamba timu za kombe la shirikisho barani afrika msimu huu lilikuwa na timu dhaifu,tutaona how siriaz you are na huu uzi wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…