Kwangu Mimi haya ni maajabu enyi wabobezi wa masuala ya Bahari, Maziwa na Mito nielimisheni zaidi kuhusu hili

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Body of a man who drowned in River Nzoia retrieved after two months

Mwili wa Mtu aliyezama Mto Nzoia umeonekana baada ya Miezi Miwili


Citizen TV Kenya

Mimi ninachojua na nilichokaririshwa na Wadau ni kwamba Mtu yoyote akizama iwe Baharini au Ziwani au Mtoni ndani ya Siku Moja tu ataonekana
 
kuonekana ni issue moja na mwili kuelea ni issue ingine.

mtu akishakufa anaelea, jambo la kuonekana inategemea
 
Kaonekana mzima ama mwili wa marehemu umepatina. Inategemea maziwa mara nyingi hayana tabia ya kutapika uchafu kama bahari. Na uenda alikwama kwenye mapango. Ila pia ni maajabu maana kuna kuoza na kuliwa na samaki.
 

Nashukuru sana ' Mbobezi Mwandamizi ' wa Masuala haya mazima ya Kuzama katika Bahari, Maziwa na Mito kwa Kunifafanulia ' Kitaalam ' kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…