Kwangu mimi huyu ndio kachero bora na mwana mikakati hodari zaidi ya Membe

Hakuna cha wazee wa kazi wala nini, kinachoifanya ccm iendelee kutawala ni wananchi wenyewe ila siku zinakuja na wananchi wataamua na hapo ndio itakuwa mwisho wa ccm.

Katiba mpya ni muhimu
Ya ni kweli wananchi wanashindwa kuamua.. kwa sababu walishagundua kuwa wapinzani wote ni wachumia tumbo ukimtoa hayati mch Mtikila. RIP
 
Nimesoma, nimeona ni upuuzi tu kama upuuzi mwingine. Unawajua vizuri waanzilishi wa NCCR mageuzi?
NCCR, Chadema, CUF nk vimeanzishwa na watu maalum na kwa malengo maalum, ila kwa vile umekabizi akili zako kwa mwenyekiti wa chama, hilo huwezi kulijua mpk siku utakayokuwa huru kiakili na kifikra. Omba mwenyekiti akurudishie akili yako hata siku moja tu utaelewa ukweli wa mambo.
 
Hizi ndiyo hadithi za kufikirika kujaribu kuhalalisha waganga njaa wengi wa Tanzania. Wapi Mzee Mwinyi anasema alilazimishwa kuruhusu mfumo wa vyama vingi? Kikao gani ulikuwepo kushughudia haya unayoyatolea ushuhuda! Huu ni uandishi wa aibu hata wahusika unaowahalalisha kuwa walitumwa wanajua kuwa walichofuata kwenye vyama vya upinzani siyo kuwa kachero. Kazi halisia ya kachero ni kudumisha Taifa siyo hiyo ya fuata upepo ambayo hudhoofisha maadili, urithi wa vizazi vijavyo na taifa kwa ujumla wake!
 
Jamaa ni kilaza sana mkuu na inaonyesha ndiyo kwanza kamaliza form four.
 
Hakuna cha wazee wa kazi wala nini, kinachoifanya ccm iendelee kutawala ni wananchi wenyewe ila siku zinakuja na wananchi wataamua na hapo ndio itakuwa mwisho wa ccm.

Katiba mpya ni muhimu
Ukiwambia habari za katiba mpya wanakuona kama adui yao nambari moja.
 
Usilolijua ni sawa na usiku wa giza, laiti ungejua misuguano na mitifuano ya kifikra na mitazamo ya hao unaowaita 'watu maalum' basi usingeandika ulichoandika.
 
Stori za kijiweni na wewe ndio mkuu wakijiwe. Nawaonea huruma sana watu wa kijiwe chako. Huu ni msiba
 
..."wakazusha tuhuma mbalimbali.Zingine za uongo zingine za ukweli"...!
--Hivi ukweli huwa unazushwa au unafuata mapigo tu?
--Hoja ni jasusi "mahiri" kadiri ya ulivyotaka kutueleza au kuvieleza vyama,hasa CHADEMA?Maana sijamuona/jina jasusi ulomlenga.
 
What a simple propagation!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…