Kwangu mimi ilikuwa ni kama ndoto……………………..!

Mkuu Mtambuzi story kweli inatouch
tenda wema uende zako wala usingojee wa kukupa shukrani
Asante sana Mtambuzi
 
Last edited by a moderator:
Natamani iwe kweli, lkn aah, ni story tu. Hata hivyo ni somo zuuri kwa wana wa Adamu.
 
This just sounds like the story my dady tells me and other people.
Be good to people kwani huwezi jua nani atakusaidia siku ukidondoka.
Jamani tusiwadharau watu tusio wafahamu you never know what will happen to you,mara nyingi tunawapenda watu walio karibu yetu kuliko walio mbali lets take msemo wa Yesu mpende jirani yako kama nafsi yako
 
Ni habari nzuri na ina mafunzo mengi. On a light touch - title ya hiki kitabu utaiitaje ningependa nikisome chote kitakapokamilika.
 
Naam mzee Mtambuzi nashukuru sana kwa somo lako zuri...na kwa kweli nimelipenda na limenielemisha sana. Ntajitahidi kuufuata ushauri wako na kuwashauri vijana wengine wenye mienendo mibaya ya maisha waige mfano wako.

Historia ya maisha yako inapaswa kuwa mfano wa kuigwa kwa vizazi hata vizazi. Nakupongeza sana mkuu kwa tabia na mwenendo wako bora wa maisha.
 
Last edited by a moderator:
Mtambuzi umenikumbusha mbali sana.
Mwaka 2003,Nilikuwa na rafiki yangu ambae kwao walikuwa hawana uwezo kbs.
Na alikuwa anataka kusomea Hoteli Mngmnt.
Na kwa kuwa kwetu tulikuwa na uwezo niliamua kumsaidia kila kitu kuanzia nguo,viatu,begi,nauli na mahtaji yoote kwa muda wa mwaka mmoja.
Mungu si Athumani alipata kazi Hoteli moja hapa Dar,na alifanya kazi kwa nguvu zote.
Mwaka uliofuata yaani 2004 alipata mchumba wa Ki-Hispania na wakakubaliana wafunge ndoa.
Rafiki yangu yule alikuwa na roho ya peke yake,hakumficha kumweleza mchumba wake maisha aliyopitia yale ya msoto na kwamba mimi ndie niliemsaidia mpaka kafika pale.
Huwezi kuamini nilikutana na mchumba wake na wakaniambia nichague zawadi yoyote nitakayoona inanifaa kwa kutenda wema wangu.
Niseme ni akili ya utoto ilikuwa inanisumbua au la, nilimwambia anipe chochote,basi walinipa milioni 12, pamoja na kunifungulia saluni mbili ya kike na ya kiume. kisha wakaondoka kwenda Spain. Japo mpaka leo ni miaka 8 imepita na bado tunawasiliana, lakini haishi kunishukuru kwa wema ule.

Unajua unapotaka kutoa msaada usiangalie utalipwaje wema wako,tenda wema na Mungu atakuzidishia kwa muda au saa aitakayo yeye.
 
Last edited by a moderator:

Mkuu Young Master huu ushuhuda haunihusu mimi kabisa.................................
 
Last edited by a moderator:
Inasikitisha na pia inahamasisha!Shukrani sana Mkuu Mtambuzi.Nimejifunza mengi sana kutokana na simulizi lako.
 
Naamini wachangiaji wote wameguswa na hata waliotokwa na machozi, kweli mie machozi yamenilenga na kusisimka sana kwa hii stori..Nilikuwa katika dunia yangu nimejitengenezea scenario kwa jinsi stori ilivyoanza mpaka mwisho.. Imenigusa kweli!!

Kweli mtu mwema Mungu hamtupi kabisa hata apitie changamoto nyingi kiasi gani..Ni funzo kubwa nimelipata!!

Nimemtumia mpenzi wangu aisome pia hii stori (credits to you Gustavo)..
 
Ndugu Mtambuzi nimeona like mbili kwa Young Master, kweli kazi yako ni kubwa sana hapa JF hata kama umepewa offer ya kua na account zaidi ya 1.. Hii ni kama lecture unapokua theatre! Thanks
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…