Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,591
- 6,946
Kwangu mimi ni fei toto [emoji1]Kwangu mimi ni Thiago Silva.
ka umri kake kanamrruhusu kusema hivyo, ila kuna akina hassan Haffif,zamoyoni mogeLA, deo njhole walikuwa hatari sanaView attachment 1151788
Kwangu mimi Messi ndie mchezaji bora duniani kuwahi kumshuhudia" - Thiago Silva
Lile toto linatoka kamasi na udenda.Kwangu mimi ni fei toto [emoji1]
Daaaah aiseeKwangu mimi AISHA MANULA
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Lile toto linatoka kamasi na udenda.
Mchunguze utaona.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Kwangu Mimi ni SwaleheKwangu mimi ni fei toto [emoji1]
Hana medali ya kombe LA Dunia
Ova
Hili Toto linakera sana uwanjani badala ya kucheza mpira lenyewe linachezea mpira.Kwangu mimi ni fei toto [emoji1]
Kwangu mimi Zana colibalyView attachment 1151788
Kwangu mimi Messi ndie mchezaji bora duniani kuwahi kumshuhudia" - Thiago Silva