"Kwangu mimi Messi ndie mchezaji bora duniani kuwahi kumshuhudia" - Thiago Silver

Haijalishi ana medali au hana, ila atabakia kuwa mchezaji bora duniani kuwai kutokea. Wenye makombe yao ya dunia kawapiga chini mammae, na bado 😀😀
Mchezaji bora na hajawahi kushinda kombe na timu yake ya taifa? huo ubora unaupimaje? kwa kupikiwa pale barca? sasa utamfananisha na mtu ambaye ana mafanikio kila timu anayoenda mpaka timu ya taifa na makombe? you must be an idiot!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…