Ni mpumbavu kama wewe ndio anaweza kuwa na mawazo ya kijinga na kisengelema Kama yako... Job na mwamnyeto ni mabeki.... Hawajaruhusu nyavu zao kutikisika, huku hao wazee wa pira papatupapatu wakiwa safu ya mbele wameshindwa kupata hata gori la offside.