Kwangu mm Extraction ndio movie bora 2020

Extraction si ile movie jamaa mmoja anaua kikosi kizima...?? Sasa mkuu huon huo pia ni uongoo? Yan mtu akaua kundi kubwa kama lile yuko pekeake [emoji3][emoji3][emoji3]
reality inawezekana ni akili na mbinu za kivita tafuta history ya black mamba wa jwtz enzi za nyerere
 
Watu wanataka ma fiction ya watu wanapaaa net gross ya avenger end game umeiona lakini kule box office??? Hapo ndio utajua ujui
 
Watu wanataka ma fiction ya watu wanapaaa net gross ya avenger end game umeiona lakini kule box office??? Hapo ndio utajua ujui

Kwenye mauzo lazjma marvel atafunika sababu ya umaarufu wao ila kwenye actions hamna kitu ni kuchora mwanzo mwisho
 
Kuna sehemu jamaa anaendesha gari halafu camera inaingia kupitia kioo cha nyuma ad kumfikia jamaa, hy scene nilirudi kuiangalia zaid ya mara 10.
Mm nmesomea film hvy nikiangalia movie kuna mambo lzm niwe makini nayo kwa nia ya kujifunza, kwenye h movie aisee imenitoa jasho hasa upande wa camera (shots)
 
Achilia mbal io kwenye gorofa pia camera haikusimamishwa yaan mtu anapanda ngaz camera anashuka ngaz camera ipo pia ukichek kwa makin scene hazikuunganishwa ebu kachek behind the scene wanaweza wakawa wameonesha ni technique gan walitumia
 
Mbaya zaidi behind the scenes hawaonyeshi Kila kitu zaid ya vipande tuu so huwezi kupata unachotafuta kwa 100%
 
Kwanza movie kutokua na Animation au mambo ya Graphics so kigezo cha kufanya Movie iwe ni bora hilo unatakiwa ujue kwanza.
 
Kwanza movie kutokua na Animation au mambo ya Graphics so kigezo cha kufanya Movie iwe ni bora hilo unatakiwa ujue kwanza.
Unasemaje ww !! Jiulize kwann jackie chan anaonekana ni bora zaid kuliko jet li japo wanachuana maana jet li nae anatembeza doz si za nchi hii
 
Marvel wamekosa washaur ile kamba wamekosea kuwa ya mionz bora ata ingekuwa kawaida alafu mtu anapaa na bomu rocket how is this possible ni pumba tupu afu kwenye movie bora yenyewe ndio namba 1 hawa marvel wamechoka
[emoji16][emoji16]jana tu nimeangalia hii movie "Wonder woman" baada ya kuikwepa kwa miezi kadhaa!! Vitu vingine unaangalia basi tu kuvuta-vuta muda!!
 
[emoji16][emoji16]jana tu nimeangalia hii movie "Wonder woman" baada ya kuikwepa kwa miezi kadhaa!! Vitu vingine unaangalia basi tu kuvuta-vuta muda!!
Pole sana maana ile sio juvuta mda tena bali ni kupoteza chek io niliokuambia hutojuta
 
Pole sana maana ile sio juvuta mda tena bali ni kupoteza chek io niliokuambia hutojuta
Hiyo Extraction nimeshaicheki, nimeona nyingine wadau wamezi list lazima nikazicheki pia!!
 
Tatizo wamezidisha kuchora mpaka wanaboa
mkuu unaelewa kwamba kuna aina tofauti za movie na sio zote ni action tu kama john wick au hiyo extraction?
marvel ni movie aina za superhero sci fi ambapo chimbuko lake ni comicbooks.
na ina mashabiki wengi sababu walianza kuuza comicbooks miaka ambayo hakuna hata mmoja kwenye huu uzi bado hamjazaliwa.

kuna horror, actions, science fiction, comedy, adventure, animated, drama, epic, crime, war, disaster, fantasy, superhero. sports na genre nyingine nyingi.

so unaposema kuangalia movie za marvel na DC ni ushamba unakuwa unajichora mwenyewe utakuwa mgeni kwenye hii sekta.

alafu huyo jamaa wa kwenye extraction yeye ndio anacheza character ya THOR kwenye avengers huko marvel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…