KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Sauti yake ni nzuri inafit vilivyo ndie mshiriki na mshindi wa BSS ninaemuelewa vilivyo kwa uwezo wake wa kuimba!. Sio kwamba wengine hawajui no,wanajua lakini huyu kwangu ndo best till now.
BSS ya mwaka 2018 ilitupatia mshindi bora kuwahi kutokea ambae ndo huyu mwanadada Sarafina Michael.
Naomba nisiseme mengi nitaweka hapa video zake.
BSS ya mwaka 2018 ilitupatia mshindi bora kuwahi kutokea ambae ndo huyu mwanadada Sarafina Michael.
Naomba nisiseme mengi nitaweka hapa video zake.