Kwenye Joromi ameua kabisa. Nimekuchagua wewe ya Bob Ludala hali kadhalika na kisha Wimbo wa Diamond na Neyo
Halafu anatumia sauti yake halisi. Halazimishi kuimba kama wimbo ulivyorekodiwaAnajua huyu mkuu
Tatizo la mashindano kama hayo, washiriki wanaimba nyimbo za watu.Mshindi bora niyule anayeweza ku-survive kwenye mziki baada ya BSS.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huko mi sijagusia ndugu hapa nazungumzia uwezo wake wa kuimba na si kutoboa!.. nafahamu hata hilo ni jambo muhimu lkn uwezo wake unauzungumziaje..? Msikilize sauti,vocal zake mipangilio n.k mtoto anavyonata na biti Kama amekula yabisi mpk mimacho inawatoka mafisi..πMshindi bora niyule anayeweza ku-survive kwenye mziki baada ya BSS.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha! Mkuu bila kupindapinda hii bss ya mwaka huu mimi binafsi sijaonamo..π siwezi sema wamefanya zero no wamefanya na wamejitahidi sana lkn sioni Kama atapatikana Kama Sarafina Michael au hata meshack yule wa 2019 nae yule ni kiboko! Yule jamaa nae namkubali anasauti ya pekee sana na kwa kuwacharaza wenzake aliwacharazia kwenye sauti ya kipekee na alivyokuwa akimudu kuimba vocal za juu.. But Sarafina Michael she's the best to me haya ya leo namuachia yesu apambane na watu wake..ππ€£Nini maoni yako kuhusu hawa wa leo.?
Ndo nn[emoji16]Huijui BSS..?
Watunzi wa nyimbo wapk wengi saana siku hizi hata hiyi.songs unazozisikia zina watunzi tofauti na wanazoimba sema kimbongobongo hatuna acknowledgements .Tatizo la mashindano kama hayo, washiriki wanaimba nyimbo za watu.
Sasa msanii akisharudi mtaani, anatakiwa kuimba nyimbo zake hapo ndio tatizo linapoanzia.
Na kingine mtaani siyo kipaji, ni unamjua nani au una connection gani ??
Ni mwendo wa janja janja united.