Kwangu ukimtoa Joseph Haule (Prof Jay), msanii wangu bora wa Hip Hop ni Nikki Mbishi. Nenda YouTube kaangalie kazi yake mpya inaitwa Romanza

Kwangu ukimtoa Joseph Haule (Prof Jay), msanii wangu bora wa Hip Hop ni Nikki Mbishi. Nenda YouTube kaangalie kazi yake mpya inaitwa Romanza

Niki ana akili sana ya kuchana ila nadhani hayupo serious. Ni moja kati ya watu wachache naoweza kusikiliza ngoma zao kwenye gari yangu
Mkuu umetisha ila pia nimegundua nikki ni mtu ambaye anafatilia vitu vingi na ukitaka kujua ilo sikiliza nyimbo zako
 
Maji ni uhai

Muulize nay wewe unju ni Rakuchumpa usiingie kwa pupa uliza bei wewe Gay wewe umesahau jinsia zamani ulikuwa unaitwa omary siku hizi silifia"
 
Back
Top Bottom