kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
Kizazi bogus, the best hiphop era was the 90s periodIli umuelewe lazima uwe umesoma Cuba au una C flaat kwa sababu nikki mbishi huwa hawaimbi vilaza kabisa.Yeye yupo mbele muda
nikki hawezi kupata muda wa issue kwa hiziNiki mbishi naona unajipigia kapromo
pinga kwa hoja mkuuKizazi bogus, the best hiphop era was the 90s period
Tayari mkuuModerator naomba rekebisheni kichwa cha habari kisomeke vizuri
bado hujarekebisha neno kachecTayari mkuu
Mkuu umetisha ila pia nimegundua nikki ni mtu ambaye anafatilia vitu vingi na ukitaka kujua ilo sikiliza nyimbo zakoNiki ana akili sana ya kuchana ila nadhani hayupo serious. Ni moja kati ya watu wachache naoweza kusikiliza ngoma zao kwenye gari yangu
nyingine hiiukipata visa pasua anga,
underground giza hakuna mwanga.
(uunjuu)