M Malata Junior JF-Expert Member Joined Nov 29, 2011 Posts 3,104 Reaction score 2,550 Jun 5, 2018 #21 Kuna mganga huku kijijini kwetu anaonyesha kwenye karai la maji!
F fizzo kaimu Member Joined Aug 5, 2011 Posts 61 Reaction score 12 Jun 6, 2018 #22 Game zitaonekana TBC 1 na UBC wameshatangaza kuzionyesha live bila chenga,FOX Sports pia wataonyesha
Karne JF-Expert Member Joined Jun 13, 2016 Posts 8,118 Reaction score 13,547 Jun 6, 2018 #23 Azam washenzi kweli yaani walipoona TV1 nayo imeanza kuleta wachambuzi mahiri wa michezo na kuonesha live matches za EPL wakaitoa kwa kuhofia ushindani. Kuangalia WC kupitia TBC au UBC kwa ile quality ya picha heri umelala Tu.
Azam washenzi kweli yaani walipoona TV1 nayo imeanza kuleta wachambuzi mahiri wa michezo na kuonesha live matches za EPL wakaitoa kwa kuhofia ushindani. Kuangalia WC kupitia TBC au UBC kwa ile quality ya picha heri umelala Tu.
fungi JF-Expert Member Joined Mar 18, 2014 Posts 2,539 Reaction score 4,672 Jun 6, 2018 #24 Ujije said: Kama wanaonyesha waanze kutoa matangazo sio kukaa kimya tu sisi wengine vijijini hatuna hiyo supersport Click to expand... Hawawezi kufanya matangazo kwa kuwa sio chanel zao zinazo onesha
Ujije said: Kama wanaonyesha waanze kutoa matangazo sio kukaa kimya tu sisi wengine vijijini hatuna hiyo supersport Click to expand... Hawawezi kufanya matangazo kwa kuwa sio chanel zao zinazo onesha
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Jun 6, 2018 #25 fizzo kaimu said: Game zitaonekana TBC 1 na UBC wameshatangaza kuzionyesha live bila chenga,FOX Sports pia wataonyesha Click to expand... Hawataonesha mechi zote..game ziko 64 ila wao wataonesha game 32
fizzo kaimu said: Game zitaonekana TBC 1 na UBC wameshatangaza kuzionyesha live bila chenga,FOX Sports pia wataonyesha Click to expand... Hawataonesha mechi zote..game ziko 64 ila wao wataonesha game 32