Eti jamani kuna hili swala mimi nashindwa elewa iweje mahusiano ya kimapenzi ya viongozi yatumike kama sera za vyama vingine.....ooh! Dk.slaa ana mchumba oo! kachukua mke wa mtu.....kwani hawa wapenzi ndo sera? mimi nadhani wajiaibisha au wadau mnaonaje.....