Hizi tetesi zimekua nyingi mno tangu jana..lakini upande tunaousikia ni mmoja tu,sijui muhusika ana maoni gani?
Lakini kwetu sisi yanga nadhani maisha yanawezekana kabisa bila Fei
Tuombe uongozi walitatue hilo kistaarab sote tunajua kuwa kijana anaipenda sana Yanha lkn kimvutacho kule ni Changamoto za Maisha tu...ni vema uongozi gsm walitambue hili na ikibidi aruhusiwe aende kusaka tonge mahali pengine ikiwa ni pamoja na kupata maslahi yaliyo bora zaidi,hapo pia yanga tutakua tumemsaidi sana.
Lakini mwisho tena niulize kwa wale wa za ndaani kabisa,Fei kama Fei anasemaje kuhusu hili?nini msimamo wake?
mpira pesa Yanga wapande dau swala la Fei litaisha,wampe angalau mshahara wa milioni 20 kwa mwezi.kazi kubwa anayofanya Fei pale yanga analipwa milioni 4 anazidiwa mshahara hata na Makambo.