johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Na utaratibu wa manunuzi ukoje?Bei inatofautiana mkuu kulingana na model, Kwa level ya DED Sheria haimruhusu kununua gari la namna hiyo hata JPM aliligusia, maoni yangu hyo gari nilivyoiona haifikii mil 400 gharama ipo exaggerated Sana.
Hata hvyo huyo DED wa Geita ni moja ya MADED washamba sijawah ona. Unapigwaje hela kishamba hvyo aiseee
We unadhani amepigwa hela?au amepiga hela?Bei inatofautiana mkuu kulingana na model , Kwa level ya DED Sheria haimruhusu kununua gari la namna hiyo hata JPM aliligusia , maoni yangu hyo gari nilivyoiona haifikii mil 400 gharama ipo exaggerated Sana ....
Hata hvyo huyo DED wa Geita ni moja ya MADED washamba sijawah ona ....unapigwaje hela kishamba hvyo aiseee
Wamebaki Madiwani wa Kijani tutarajie Wataidhinisha ununuzi wa Land rover 109
Hivi wakati wa upigaji huo CDM walikuwepo?Ni rahisi kiasi gani madiwani wa CDM kupiga dili kwa mfumo wa mapato na matumizi ya halmashauri hapa Tanzania? CDM waliwahi kutawala nchi hii mwaka upi ili tuone tofauti na wale wa CCM?Wamebaki Madiwani wa Kijani tutarajie Wataidhinisha ununuzi wa Land rover 109
Utaratibu wa Manunuzi ya umma unasimamiwa na Public Procurement ActNa utaratibu wa manunuzi ukoje?
Hakuna tenda?
Utaratibu wa ununuzi wa Umma kuhusu kununua magari ni kwa kufuata mwongozo uliotolewa na Serikali ambapo baada ya Taasisi kupanga bajeti na kuweka katika mpango wa ununuzi kinachofuata ni kuomba kibali kwa Waziri mkuu na kikipatikana unaomba specifications kupitia TEMESA (Wizara husika). Baada ya hapo unaomba bei kutokana na specifications za gari kutoka GPSA. GPSA watatoa bei ambayo Taasisi inatakiwa kulipa ili kupata gari hilo.Na utaratibu wa manunuzi ukoje?
Hakuna tenda?
Nimekuelewa mkuu!Utaratibu wa ununuzi wa Umma kuhusu kununua magari ni kwa kufuata mwongozo uliotolewa na Serikali ambapo baada ya Taasisi kupanga bajeti na kuweka katika mpango wa ununuzi kinachofuata ni kuomba kibali kwa Waziri mkuu na kikipatikana unaomba specifications kupitia TEMESA (Wizara husika). Baada ya hapo unaomba bei kutokana na specifications za gari kutoka GPSA. GPSA watatoa bei ambayo Taasisi inatakiwa kulipa ili kupata gari hilo...
Nashukuru, nina uhakika hamna upigaji ila kuna ufujaji wa pesa. Mfano mtoto unampa elfu 10 asubuhi badala atumie elfu moja tu anatumia yote na ukimuuliza umefanya nini anakwambia nimenunua burger za Best Bites na soda ya kopo na milk shake. Mtoto anaweza kuwa amefanya vitu halali ila amefuja hela hajatumia kwa uangalifu kupata value for moneyNimekuelewa mkuu!
DED ailishatoa ufafanuzi kwamba alipata kibali cha manunuzi toka kwa PM na alikionesha mbele ya Waandishi wa habari.Na utaratibu wa manunuzi ukoje?
Hakuna tenda?
Kumbe!DED ailishatoa ufafanuzi kwamba alipata kibali cha manunuzi toka kwa PM na alikionesha mbele ya Waandishi wa habari.
Ungeenda Toyota motors ungepata info za kutoshaNa utaratibu wa manunuzi ukoje?
Hakuna tenda?
Hizo za hapo Ufipa mlizinunua kwa Karimjee?Ungeenda Toyota motors ungepata info za kutosha
Ova
Kupata kazi GPSA unapaswa kuwa na sifa zipi?Utaratibu wa ununuzi wa Umma kuhusu kununua magari ni kwa kufuata mwongozo uliotolewa na Serikali ambapo baada ya Taasisi kupanga bajeti na kuweka katika mpango wa ununuzi kinachofuata ni kuomba kibali kwa Waziri mkuu na kikipatikana unaomba specifications kupitia TEMESA (Wizara husika). Baada ya hapo unaomba bei kutokana na specifications za gari kutoka GPSA. GPSA watatoa bei ambayo Taasisi inatakiwa kulipa ili kupata gari hilo.
Kuhusu bei nina imani ni sahihi kwa hilo gari, ila ni kubwa mno kwa watumiaji (DED). Lilipaswa labda liwe gari la Rais, Makamu wa Rais au Waziri Mkuu. Kulinunua kwa matumizi ya mkurugenzi ni ufujaji wa fedha za umma.
Hakuna tenda inayotangazwa kwani GPSA inanunua magari kwa ujumla (bulk procurement) hivyo upata discount na kuyauza kwa Taasisi za Serikali kwa bei chini ya market price. Utaratibu huo utumika kwa mafuta pia