KWANI HAPPY BOYFRIEND DAY NI LINI?

KWANI HAPPY BOYFRIEND DAY NI LINI?

Mwanaume haina haja ya kuwa na visiku vya kijinga
Yaani hata father's day inabidi ifutwe🚮🚮🚮
 
Tafuta hela kijana
Screenshot_20240725-183027_(1).png
 
Duh kuna waafrika wao kila kitu kuiga tamaduni za kimagharibi, mpaka ndoa za jinsia moja wapo
 
Back
Top Bottom