mapenzi na umri haviingilini kabisa!! mapenzi yanatoka moyoni na moyo haujui namba.
mmmhhh Canta,hebu linganisha kavulana ka 18years old na binti wa umri huo,mentally unawaonaje?Umri ni namba tu,km mmependana kwa thati wala haina tatizo,
Tatizo litakuja km mtaacha kufuata mioyo yenu na kusikiliza watu wa nje wanasemaje na kutaka kuwaridhisha!!
kuna siku mtakuja kujua umri ni umri na namba ni namba hayo nimaneno ya kujipa moyo tuu!umri ni namba tu,km mmependana kwa thati wala haina tatizo,
tatizo litakuja km mtaacha kufuata mioyo yenu na kusikiliza watu wa nje wanasemaje na kutaka kuwaridhisha!!
Umri ni namba tu,km mmependana kwa thati wala haina tatizo,
Tatizo litakuja km mtaacha kufuata mioyo yenu na kusikiliza watu wa nje wanasemaje na kutaka kuwaridhisha!!
Mimi na mama Matesha wangu tumelingana umri. Na hatujawahi kujutia penzi letu.Tatizo ni kwamba inaaminika kwamba jinsia moja hua inamature kaikili/kimawazo/kifikra haraka zaidi ya nyingine. Hivyo ukitaka mahusiano ambayo wote mtakua kwenye level moja ya kufikiri inabidi uwe na mwanaume ambae amekuzidi kidogo (normally) japo bado unaweza ukakutana na mtoto kwenye mwili wa mtu mzima. Ila bado wapo wanaomature haraka bila kujali jinsia na umri hivyo we unachotakiwa kufanya (kama maturity ni muhimu kwako) mchunguze mtu yeye kama yeye bila kujali jinsia.
Kwenye mapenzi kila kitu kinawezekana Mzee bishanga,mmmhhh Canta,hebu linganisha kavulana ka 18years old na binti wa umri huo,mentally unawaonaje?
Shikamoo Babu,Mimi na mama Matesha wangu tumelingana umri. Na hatujawahi kujutia penzi letu.
Tumethubutu, Tumeweza na Tunasonga Mbele.
Hapa cha msingi ni mapenzi hizo namba wala sio ishu,mambo yameshabadilika,kuna siku mtakuja kujua umri ni umri na namba ni namba hayo nimaneno ya kujipa moyo tuu!
Tena FYI mkilingana ndio inanoga zaidi......Shikamoo Babu,
Nimefurahi kwa vile umekubali, km mapenzi yapo wala mambo ya umri hayana nafasi kbs!
Ndio maana na mie nakupenda babu,Tena FYI mkilingana ndio inanoga zaidi......
Siyo mmoja anataka kwenda bongo fleva mwingine anataka kwenda Kitambaa cheupe
Mwingine anazungumzia TANU mwingine anajua CCM
Huyu anajua ya Nyerere mwingine January Makamba
Huyu anataka kupumzika mwingine anataka kwenda disko
Basi tabu tupu!
Baada ya kusema hayo, naitikia shkamoo yako.
Afu unajua navyokupenda?
Tena FYI mkilingana ndio inanoga zaidi......