Siishii hapo tu, na limbwata namnunulia ili aniwekee zaidi na zaidi........Ndio maana na mie nakupenda babu,
Japo sijui kiwango chako cha kunipenda kimeongezeka au nikile kile!
Kiukweli linapokuja swala la watu kupendana kwa dhati km Babu ODM na bibi yetu MATESHA,
Umri munabaki kuwa namba tu,ndio maana some time babu anaendaga sokoni na kumsaidia bibi kupika lol!
Haaa haaa haaa,Siishii hapo tu, na limbwata namnunulia ili aniwekee zaidi na zaidi........
Canta! We haya!Haaa haaa haaa,
Hapa babu Mmmmmh!
Wenye macho hawaambiwi tizamen,wataisoma wenyewe!
Haya ndio mapenz bwana!!!
Hkuna cha umri wala nn,mkizimikiana basiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii!
Canta! We haya!
Mzeee wangu vp tena,Canta! We haya!
Kila siku watu wanapendana na wengine kuachana kutokana na sababu mbalimbali...hili suala la "age mates" kupendana lina tatizo jamani?? Maana nimekuwa nikisikia watu wakili-discourage sana,kwamba mtakuwa wote na mawazo ya kitoto...kila mmoja atakuwa anajiona anajua zaidi ya mwingine. Na kwamba kuwa katika mahusiano,ambayo mwanamke kapitwa miaka kuanzia mitano ndo yenyewe....Kwa mtazamo wangu tabia ni hulka tu ya mtu kutokana na mazingira aliyokulia au yanayomzunguka...Suala la mapenzi ya "age mates" mwalionajee wana JF?
Mzeee wangu vp tena,
Funguka bwana hapo umeniacha njia panda lol!!!