Kwani hii suzuki escudo haifai kabisa? Sijaona watu kutembea nayo

Kwani hii suzuki escudo haifai kabisa? Sijaona watu kutembea nayo

Ile old model milango mitano, kwani ukiwa nayo ina matatizo gani na je vp kuhusu ulaji wake wa mafuta. Inahimili barabara za vumbi?
 
Back
Top Bottom