Kwani ili niwe Mwanaume kamili natakiwa niweje?

Down To Earth

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2011
Posts
21,940
Reaction score
16,643
Eti, Mwanaume kamili anatakiwa kuwa na Sifa zipi ?

Changia maoni kwa utulivu wa akili
 
mwanume kamili anatakiwa awe tofauti na ww. elewa point hapo
 
 

Attachments

  • 20240105_224436.jpg
    162 KB · Views: 3
Eti, Mwanaume kamili anatakiwa kuwa na Sifa zipi ?

Changia maoni kwa wa akili
Lazima ajitambue kwanza kuwa yeye ni mwanaume kamili.
Kama hajijui kuwa yeye ni mwanaume kamili hata akipewa ushauri hatakuwa mwanaume kamili.
 
Uwe na mkuyenge tu, mbwembwe nyingine tunatofautiana kulingana na malezi, tamaduni na kipato.
 
Ukiwa na mtulinga tayari wewe ni mwanaume kamili, biological reason.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…