kwani inakuwa vip

kwani inakuwa vip

isamilo1982

Member
Joined
Jan 17, 2012
Posts
55
Reaction score
5
mimekuwa msomaji mzuri wa jf mpaka nilipokata shauri kujiunga,lakini kinachonishangaza mwenzenu iv kwa nini m2 akisema anahitaji mwenza ndani ya hili jukwaa jamani mbona huwa anazodolewa sana?nilikuwa nataka namie nijaribu bahati yangu lakini mbona mwantisha munaniogofya du!:shock::shock:
 
andika tu. haters gonna hate but mwisho wa siku utakutana na watu wengi na huenda kati ya hao watu utampata mpenzi wako...
 
Back
Top Bottom