Clack-Sniper
Member
- May 16, 2025
- 39
- 75
uWataalamu naomba kuuliza kwani gharama za Kodi kwsnye kuagiza Gari zimeshuka au. Maana nimezoeaga kuona ghadama za kodi ni sawa sawa na Bei ya Gari kuagizia. Ila sahizi naona ni tofauti iko Chini
Kodi zimeshuka?
View attachment 3521945
TRA ndio wanaamua gari gani ziwepo an mikwecheTanzania tunasukuma ndinga za kitambo mno 2005 model..
Huku kwetu Hiyo tunaiita ni Premio new model mkuuTanzania tunasukuma ndinga za kitambo mno 2005 model..
Hii mbona ni mwaka wa mbele kabisa. Ila hii ilikuwa mfano, Ni gari nyingi nimeona hadi za mwaka 2012 Kodi iko chiniTanzania tunasukuma ndinga za kitambo mno 2005 model..
Dola imeshukaHii mbona ni mwaka wa mbele kabisa. Ila hii ilikuwa mfano, Ni gari nyingi nimeona hadi za mwaka 2012 Kodi iko chini
Weka link mkuu tutishie umasikini kidogo.Hii mbona ni mwaka wa mbele kabisa. Ila hii ilikuwa mfano, Ni gari nyingi nimeona hadi za mwaka 2012 Kodi iko chini
Hii kwa hapa mjini ilifika ndio inaitwa MpyaTanzania tunasukuma ndinga za kitambo mno 2005 model..
😂😂😂Ikishaingia mjini tu na ikafika mkononi hii chuma ni Mpya kabisaHuku kwetu Hiyo tunaiita ni Premio new model mkuu
Okay Labda ni kwa baadhi ya Gari. Nilikuwa naangalia hizi Gari ndogo ndio naona kama Kodi imeshuka. Kama hii gari bei yake ni 15M ila kodi yake ni kama 8.xxM tofauti na mwanzo kodi ingekuwa 15M piaKodi haijashuka kwa badhi ya Gari hasa Truck mfano ambazo tulikua tunalipa 18m mpaka 22m sasa hivi ni 28m Scania horse ya 2003 mpaka 2008,
Scania G 460 na R ya 2015 kodi yake ilikua 30m kwa calculator hii inaenda 35m mpaka 39m itategemeana na dollar ipoje siku hiyo.
Scania P series za 2019 zilikua 45m sasa hivi zinalipiwa 51m zipo gari ukiangalia utaona kodi haijaongezeka ila nyingi kodi ipo bado juu..
Hapana haipo hivyo na haijawahi kuwa hivyo kwa sababu mwanzo upi Premio ya 2005 ifike kwa 30m jumla kodi kwa gari ndogo ni hizo hizo mpaka 18m kutengemeana na model yake na mwaka wake kwenye calculator ya TRA tumia model kujua kodi halisi na hii wanaingiza chesesi namba ingawaje huku wanatumia mwaka tu ingawaje kwa baadhi ya gari ambazo model zipo chache kodi itakua hiyo hiyo uliyoangalia..Okay Labda ni kwa baadhi ya Gari. Nilikuwa naangalia hizi Gari ndogo ndio naona kama Kodi imeshuka. Kama hii gari bei yake ni 15M ila kodi yake ni kama 8.xxM tofauti na mwanzo kodi ingekuwa 15M pia
Used Toyota Premio 2005 (128,000 km) - TCV (formerly Trade Car View)
Umri wa kijana yupo chuo mwaka wa pili.Tanzania tunasukuma ndinga za kitambo mno 2005 model..
Kuna kipindi ilikuwa hivyo ila ilikuwa ike TRA calculator ya zamani. Siku hizi naona wamebadilisha mfumo unavyoonekana ndio nikawa nashangaa.Hapana haipo hivyo na haijawahi kuwa hivyo kwa sababu mwanzo upi Premio ya 2005 ifike kwa 30m jumla kodi kwa gari ndogo ni hizo hizo mpaka 18m kutengemeana na model yake na mwaka wake kwenye calculator ya TRA tumia model kujua kodi halisi na hii wanaingiza chesesi namba ingawaje huku wanatumia mwaka tu ingawaje kwa baadhi ya gari ambazo model zipo chache kodi itakua hiyo hiyo uliyoangalia..