Kwani kuchaniwa faini ndiyo kunakufanya uwe na hasira?

Hakuna anayejali

JF-Expert Member
Joined
Jun 3, 2023
Posts
418
Reaction score
526
Jambo hili nimeliona sana kwa madereva wengi wa gari za abiria.Akichaniwa faini kwa makosa mbalimbali akitoka pale kama amekorofishana na mtu.Ndiyo nauliza kwanini hii tabia hutokea?
 
Ungetulia ukaandika vizuri ukaeleweka ila huu ulio tuandikia ni upuuzi tu huelewki.
 
Mbona umeandika ukiwa unakimbilia daladala hadi hujaeleweka. tulia ukae uandike vizuri
 
Back
Top Bottom