kwani kumchezea mtu maana yake nn?

twenty2

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2011
Posts
296
Reaction score
32
nasikia watu wengi wakisema ata wanamuziki wanaimba,kwani ukinipa nitakuchezea?ndio maana yake nn?nifungueni kichwa basi.
 
Kweli inaonesha you are still young kuuliza ilo swali.... enways
Kumchezea mtu ni ile hali ya kua na mtu
(mara nyingi mpenzi.... but hata urafiki wa kawaida)
ukionesha malengo juu yake ambayo ni tofauti kabisa
na malengo yako ya kweli rohoni....
 
Kumchezea mtu ni ile kuwa unamtumia tuu na huna malengo naye. Inawezekana ni msichana unampa matumaini ya kuwa mpenzi wako wa kudumu kumbe kichwani mwako wewe una malengo ya kutosheleza tamaa zako za kimapenzi na kumuacha bila kuwa na malengo yoyote na yeye. Wakati huo dada anatarajia labda ndoa au malengo ya maana maishani baadae.
 
ooh bintiwe...ndo uko 22, hilo neno lisikie tu but usiombe likukute!
 
Kumchezea mtu ni kuoa/kuolewa then una wapenzi wangine nje.
 
nasikia watu wengi wakisema ata wanamuziki wanaimba,kwani ukinipa nitakuchezea?ndio maana yake nn?nifungueni kichwa basi.

sijui kuchezea nini....labda kiduku bana huwezi jua!!!!!!!!
 
miongoni mwa kauli chache ninazozichukia kwa moyo wangu wote ni hiyo!!kauli hii ilishasababisha nikavunja uhusiano miaka flani hivi ya nyuma!
 
Kweli inaonesha you are still young kuuliza ilo swali.... enways
Kumchezea mtu ni ile hali ya kua na mtu
(mara nyingi mpenzi.... but hata urafiki wa kawaida)
ukionesha malengo juu yake ambayo ni tofauti kabisa
na malengo yako ya kweli rohoni....
mm sio mtoto kama unavyofikilia,bt asante kwa mchango wako.
 
miongoni mwa kauli chache ninazozichukia kwa moyo wangu wote ni hiyo!!kauli hii ilishasababisha nikavunja uhusiano miaka flani hivi ya nyuma!
pole sanaaaaaaaaaaaaa,itakubidi uangalie mawazo ya watu wanayo andika
 
ooh bintiwe...ndo uko 22, hilo neno lisikie tu but usiombe likukute!
inakubidi unishauri ili lisinikute niendelee kulisikia,pole inaonekana yamekukuta.
 
asante,lakini inaonyesha wanaume ndio wanao fanya ivyo,alafu kumbe ni mawazo ya m2 na sio kukutamkia?
 
asante,lakini baadae m2 hawezi kubadilka?
 
Hiyo ni mawazo ya ndani hawezi kukutamkia wazi kuwa eti ninakutamani tuu. Anakuja na idea nyingi tuu ya kutengeneza maisha yako kumbe moyoni ana nia akuchezee akuache.
 
Hiyo ni mawazo ya ndani hawezi kukutamkia wazi kuwa eti ninakutamani tuu. Anakuja na idea nyingi tuu ya kutengeneza maisha yako kumbe moyoni ana nia akuchezee akuache.
Mkuu, kuna mikoa ukienda kuwa wazi kabisa kama unataka ku-do na kuchapa mwendo unasema na wanakubali na hawataki mambo mengi...
 
inakubidi unishauri ili lisinikute niendelee kulisikia,pole inaonekana yamekukuta.

Noo hayajanikuta..but nime-interact na wengi waliochezewa..itsa painful xperience!
Kwanza, umeshajua maana ya kuchezewa..b4 twende kwenye ushauri wa kuepuka kuchezewa!
 
Kumchezea mtu ni tungo tata hivyo maana yake
unaweza kuipata vizuri ukituelezea hilo neno limetumika katika mazingira yapi?
But take care utapotea.baya lisilo kuzulu ni sawa na jema lisilo na faida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…