Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
kumchezea mtu ni pale
mwanamke anapokuonyesha anakupenda kumbe
anajali yeye kitu kimoja kati ya hivi..
1.pesa zako na na unavyomgharamia tu..
2.sex na perfomance yako kitandani.
kumchezea mtu ni pale
mwanamke anapokuonyesha anakupenda kumbe
anajali yeye kitu kimoja kati ya hivi..
1.pesa zako na na unavyomgharamia tu..
2.sex na perfomance yako kitandani.
nasikia watu wengi wakisema ata wanamuziki wanaimba,kwani ukinipa nitakuchezea?ndio maana yake nn?nifungueni kichwa basi.
Kweli inaonesha you are still young kuuliza ilo swali.... enways
Kumchezea mtu ni ile hali ya kua na mtu
(mara nyingi mpenzi.... but hata urafiki wa kawaida)
ukionesha malengo juu yake ambayo ni tofauti kabisa
na malengo yako ya kweli rohoni....
Swali zuri!Na mwanaume je.............
Kalete Funguo kwanzanasikia watu wengi wakisema ata wanamuziki wanaimba,kwani ukinipa nitakuchezea?ndio maana yake nn?nifungueni kichwa basi.
Kalete Funguo kwanza
Lol!!! Alete funguo kwanza tumfungue kichwa kisha tumeleze kuchezea na kuchezewahahahahaha....mbavu zangu
mfungulie kucheza na kuchezewa
Lol!!! Alete funguo kwanza tumfungue kichwa kisha tumeleze kuchezea na kuchezewa
nasikia watu wengi wakisema ata wanamuziki wanaimba,kwani ukinipa nitakuchezea?ndio maana yake nn?nifungueni kichwa basi.
Hahaha!!! Haujatulia wewefunguo zilipotelea maternity ward
chezeaneni, chezewa nk, ulisahau.Kuchezea ngoja turudi darasa la 3 tuinyambulishe kwanza-cheza-chezea-chezeana-chezewa-chezeshacheza=just have funny,kiburudisho,not ukweli eg.boxing kama vita lakini sio vitaKwahiyo kuchezea ni kutumia kitu flani kama kiburudisho,sio serious