Kwani kuna makosa kwa binti kuchukua sura ya baba?

Kwani kuna makosa kwa binti kuchukua sura ya baba?

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Maana nimeshawasikia watu kadhaa wakisema daah, yule binti ana sepu nzuri ila tatizo ndio ivo tena ana sura ya baba!
 
Inategemea, kama baba ana sura kama yangu binti anaweza kupata shida kupata mchumba! 😉😉😉🙂
 
Tatizo hapo ni nyie wanaume, unaeza ckia mtu anaambiwa tangulia mbele mm niko nyuma. Kumbe hatak washkaj wajue kama demu wake Ana sura ya baba[emoji3]
 
Back
Top Bottom