Nichumu Nibebike JF-Expert Member Joined Aug 28, 2016 Posts 8,658 Reaction score 15,793 Dec 2, 2016 #1 Maana nimeshawasikia watu kadhaa wakisema daah, yule binti ana sepu nzuri ila tatizo ndio ivo tena ana sura ya baba!
Maana nimeshawasikia watu kadhaa wakisema daah, yule binti ana sepu nzuri ila tatizo ndio ivo tena ana sura ya baba!
RRONDO JF-Expert Member Joined Jan 3, 2010 Posts 55,727 Reaction score 123,094 Dec 2, 2016 #2 Inategemea, kama baba ana sura kama yangu binti anaweza kupata shida kupata mchumba! ππππ
Inategemea, kama baba ana sura kama yangu binti anaweza kupata shida kupata mchumba! ππππ
Aishah2016 JF-Expert Member Joined Jun 11, 2016 Posts 2,225 Reaction score 2,482 Dec 4, 2016 #3 Tatizo hapo ni nyie wanaume, unaeza ckia mtu anaambiwa tangulia mbele mm niko nyuma. Kumbe hatak washkaj wajue kama demu wake Ana sura ya baba[emoji3]
Tatizo hapo ni nyie wanaume, unaeza ckia mtu anaambiwa tangulia mbele mm niko nyuma. Kumbe hatak washkaj wajue kama demu wake Ana sura ya baba[emoji3]