Kwani kuna tatizo mwanaume kuvaa 'kacha' (Culture)?

G_real

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2019
Posts
684
Reaction score
855
Wakuu mimi napenda sana kuvaaa 'kacha' (Culture) za shanga wanazovaa Wamasai na napenda kuvaa za bendera za Africa, ila kuna watu huwa wananiambia hizi kacha wanastaili wavae watoto wa kike.

Je, ni kweli au?

 
Mbona Rais wa Kenya Mh. Uhuru Kenyata anavaa culture siku zote na mahali popote. Fanya moyo wako unachoona sawa.

 
Sishangai, ila mimi mwenyewe siyakubari kabisa! Shanga, vitege, madela ya wanaume siamini kama naweza vaaa
 
Sishangai, ila mimi mwenyewe siyakubari kabisa! Shanga, vitege, madela ya wanaume siamini kama naweza vaaa
Madela ya wanaume yapoje hayo mkuu[emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…