OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Muosha huoshwaKuna ubaya, ukija kuwa na watoto wa kike alafu hawaleti mchumba ndio utajua mtenda naye hutendwa...
Kuna ubaya, ukija kuwa na watoto wa kike alafu hawaleti mchumba ndio utajua mtenda naye hutendwa...
Hakuna ubaya maana mwanamke ukimwambia ukweli humpati…ila ukianza kumdanganya danganya unampata! 😂😂Anakuzungusha sana, unakomaa wala hajali. Unaamua kupiga gia kubwa zaidi "nataka kukuoa". Si unajua kupata mume smart ni kazi? Mnyama anakuwa ameingiza Chama, Luis na Baleke na Saido kwenye 18-Huponi.
Sasa nauliza kuna ubaya gani? Kuna watu humu wanasema usimuonee huruma mwanamke
Nachukizwa sana na wanaume wanaofanya hivi, Ni kukosa utu. We fikiria binti anaenda kutambulisha kwao kuwa amepata mchumba anataka kumuoa kumbe mpumbavu anataka apige na asepe, matokeo yake binti anabaki na maumivu ya moyo na anakuwa anaona wanaume wote ni washenzi.Anakuzungusha sana, unakomaa wala hajali. Unaamua kupiga gia kubwa zaidi "nataka kukuoa". Si unajua kupata mume smart ni kazi? Mnyama anakuwa ameingiza Chama, Luis na Baleke na Saido kwenye 18-Huponi.
Sasa nauliza kuna ubaya gani? Kuna watu humu wanasema usimuonee huruma mwanamke