Kwani kuna Ulazima wa kufua Shuka ?

KIKUKI

Member
Joined
Jul 4, 2019
Posts
9
Reaction score
7
Binaadamu tunatofautiana katika uendeshaji wa maisha yetu ya kila siku

Kwa Upande wa usafi wa mashuka, wapo wanaolalia siku moja , wengine kila baada ya wiki , wengine wanaenda mbali zaidi mpaka siku akiwa na shoo na mtoto wa kike ndio hubadilisha au kufua shuka lake

Ukiachana na suala la shuka kuchafuka , kikawaida kila baada ya siku ngapi unatakiwa ubadilishe shuka au kulifua ??

Kwa upande wangu sisemi uongo mpaka shuka libadilike rangi au nipate taarifa kuwa kuna mgeni anakuja

Ata usipolifua wiki Mtu hafi kwa kuvilu chake mwenyewe hahaha

Njooo utupe ushuhuda wa shuka lako unabadili kila baada ya muda gani
 
mkuu inakuaje mpka unatumia shuka kabisa!? mm nna mmasai ule ndo najifunika godoro lina foronya lake lile sasa shuka la nn mkuu?
 
Sina muda maalumu,nikijisikia wanabadili
 
From someone's post you can tell the age, status and lifestyle [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…