Siku hizi najitahidi kuzingatia usafi wa shuka mara moja kwa wiki. Kuna wakati napitisha wiki 2 bila kubadili.
Sema kitandani nalala nikiwa nimeoga na sipaki mafuta kwa hiyo uwezekano wa shuka kuchafuka ni mdogo sana.
Pia nalala mwenyewe kwa hiyo shuka inabaki safi.