Kwani kunautofauti gani?

Kwani kunautofauti gani?

Kati ya secret service na mashirika mengine ya ujasusi?
Secret service sio shirika la ujasusi,
Ni kitengo maalumu chini ya wizara ya mambo ya ndani chenye jukumu la la ulinzi kwa viongozi wa Marekani na mfumo wa kifedha wa Marekani kushughulikia masuala kama ya pesa bandia, utapeli katika taasisi za kifedha, usafirishaji haramu wa fedha na utakatishaji fedha.
 
The committee of 300 is a secret society with 300 members in it worldwide, which for over a century has plotted world domination, with the goal of a one-world government, also known as the Human Domestication Project or the New World Order.
BS
 
Secret service sio shirika la ujasusi,
Ni kitengo maalumu chini ya wizara ya mambo ya ndani chenye jukumu la la ulinzi kwa viongozi wa Marekani na mfumo wa kifedha wa Marekani kushughulikia masuala kama ya pesa bandia, utapeli katika taasisi za kifedha, usafirishaji haramu wa fedha na utakatishaji fedha.
Duh
 
kama boda atampeleka mke wa mtu guest bila kusema hiyo ni Secret Service

Kama mume atamtumia boda kuchunguza nyendo za mke wake huo ni Ujasusi
 
Back
Top Bottom