Kwani lazima kila mtu amuige Salama wa channel 5?

una ugomvi na salama? Au we ndo uliye iga!
 

kawaida ya wabongo weeengi unaona hata ccm na magufuli na samia wanafata ilani ya cdm na dr wilbroad slaa 2010 huku wakinyofoa hotuba za kambi rasmi ya upinzani
 
Kuna martketn strategy inaitwa " copy bt dont copy everything"
 
Kuiga sio shida ka utatafuta utofauti wako hakuna kipya chini ya jua.....mfano bongo kuna Friday night live(fnl) marekani wana Saturday night live (SNL)
 
Huyu huyu Dada ameolewa? maana namuona bado yupo yupo tu alafu kama homoni za kiume zimemzidi na hivyo kuonekana kama msela msela
 
Kwan vipindi huwa vina haki miliki it means ww ukiwa nacho mungine haruhusiwi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…