kumbe ni kweli tunawaogopa kwa kauli zako mkuu!uturn inawaaribu,si unaona mivogue ile au hauoni mijaguar ile ile wanawaringishia chezeya muke ya mudhungu?
Imekuwa kama ka tabia flani hivi...maana hawa dada zetu wakisha shinda u miss..kinachofatia ni kuolewa na wazungu..is it a social ladder?? kwani ukiolewa na kijana safi wa kitanzania kuna tatizo gani..ndio utakuwa maskini?? au jamii haitakupa nafasi?? Inanikera na inaniboa..
Miss kuolewa na mzungu ni swaga
Ni kama rapper na mibling ya cheni na mipete ya silver.
\wakiwezeshwa wanawezaaaaaa
\
Yeah_wawezeshwe msosi ili angalau wanenepe..then tutawaoa mkuu.
Sababu kubwa ni kwamba,hawatuvutii!me na akili zangu nitoke na mtu kama happyness magese kweli,nimekosa nin?
Imekuwa kama ka tabia flani hivi...maana hawa dada zetu wakisha shinda u miss..kinachofatia ni kuolewa na wazungu..is it a social ladder?? kwani ukiolewa na kijana safi wa kitanzania kuna tatizo gani..ndio utakuwa maskini?? au jamii haitakupa nafasi?? Inanikera na inaniboa..
Kijana safi ndio yukoje_by the way...huo wembamba wao wengi hatuwafagilii.