hee kumbe?ndo najua leo.anyway kwa mfano miss kama wema sepetu ni mbongo gani atakae muoa?hajipendi?hebu ona masumbuko anayoyapata ndikumana kwa uwoya je kuna mbongo atakae thubutu na yeye kujitafutia ugonjwa wa moyo?ndo maana wanaolewa na wazungu and most of them ni vibabu na vinajua kuhonga.