WomanOfSubstance
JF-Expert Member
- May 30, 2008
- 5,457
- 963
I am not sure how to approach your question lakini if you very very deep in your analysis, utagundua kwamba mapenzi ni human nature ya uchoyo na kutaka kuwa na kitu fulani by yourself; at the same time hata wale walio very successful and committed to their partners kuna wakati huangalia pembeni na kutamani ila tu ni ile staha ya kibinadamu inayobana
Kuhusu nani anajua au nani hajui, nadhani ni ile hali ya kujiexpress na kujitolea zaidi inaoonyesha ubora
Binafsi mapenzi hunisumbua kwani nakuwa somehow possessive and that is bad.... at the same time i take my eyes off the ball sometimes but its personal strength that determines how far down the road one can go!!
all in all, mapenzi ni hulka ya possessiveness tuliyopewa na nafasi yake kubwa iko kwenye positioning yourself in and around your society
I agree with you on the aspect that love is human nature.... kumpenda mtu wa jinsia tofauti ( mara nyingi na ndio msimamo wangu) na yako katika mahusiano. Mapenzi ya kitu hayo ni tofauti na mapenzi baina ya watu si ndio?
Kuhusu possessiveness hiyo ni kweli ...ni kiashiria cha mapenzi ila hiyo possessiveness nayo ikizidi hupelekea maanguko ( tragedy) maana mtu anakosa tena hata utashi wa kuchora mstari katika hatua anazoweza kuchukua pale anapohisi au kuona penzi lake likidhulumiwa.Possessiveness by itself is not love that is how I see it....ikizidi huwa kero katika mapenzi.Prove me otherwise.
ni kweli mapenzi watu hufundishwa especially wadada wa pwana ili kumfanya jamaa asitoke nje ya ndoa
jamani kwa mfano tu ngoja niulize katika Topic hii hii
watu huongelea sana ooh wanyamwezi,watanga,Wanyaturu sijui na wamakonde wanajua sana mapenzi ...wakikujukulia pima joto yako huipati
ina maana ni shughuli wakiwa kwenye 6 x6 or Mapenzi + upendo wa kweli kumjali na kumtumiakia mwenzi wako na kumuheshimu nk nk ???
fl1 hiyo red sina hamu. Lol! Nilikuwa nimechomekea shati, nimelazimika kuchomoa.
mmmh una hatari sana
MTM,
Asante kwa mwanga ulioutoa.
Hii thread ililenga kujaribu kuelewa iweje watu waone kuna makabila yanajua mapenzi na mengine yasiyojua .Kama love ni possessive nature ya kutaka kubinafsisha.... iweje kuwe na makabila yaliyojaaliwa hii hulka zaidi ya wengine? Na je kwa wale wasiojaaliwa wafanye nini?...