Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Hii hoja ingekuwa na nguvu Sana kama Mbowe asingejitangaza hadharani kwamba amechangia Chama hivyo anaona astahili kuwa Mkiti
Anataka kutuaminisha kwamba uongozi wa CHADEMA Huwa unanuliwa
Mtu yeyote mwenye hela hata za mihadarati au kibaraka wa watu waovu wanaweza wakapewa Kwa sababu ya kuwa na hela
Hii inatosha kanisa kumuondoa kwenye hiyo ana nafasi
Kuna watu wajinga wanataka kutuaminisha kwamba huturuhusiwi kukosoa CHADEMA ambacho ni Chama Cha Umma
Chama Cha Siasa sio kampuni binafsi , kikishasajiliwa ni Mali ya Umma na ndo maana kinakaguliwa na CAG
Mabadiliko yamemfikia Mbowe aliyehubiri mabadiliko hayakwepeki akabali tu au asubiri ya mbadilishe yeye